Kiungo mshambuliaji wa Simba Nico Nyagawa alipomtoka, kipa wa Coast Union Ismail Suma na kupiga kitu nyavuni na kuandika bao la kwanza kwa wekundu wa Msimbazi hapo Taifa. Simba ilishinda 2-1.
Jina ni Mzee wa Kutibua unalijua nadhani, ni mkubwa kuliko wewe, kaenda egi kichizi,Bontawni kitambo 1970 mitaa ya januari enzi hizo hata rodi hamna watu wanapiga zao misele tu kimtindo wanakatiza katiza tu kwenye uchochoro, ...watu tulikuwa tunapiga mguu kutoka Bunju mpaka Samora, mishemishe zikiisha tunakula guu Nyerere Rodi tunaibukia Ilala,Jangwani nduki....!Vitu vingine nshafogeti si unajua eji ikienda tena mambo fulani yanaevaporeti kimtindo. Lakini haina noma mbona...tupo ndani ya Jiji bado tukipambana na laifu na vijana wa sikuhizi wa Saa ya Inzi na Teke la Gia. Tunakwama kwama hapa na pale kiswahili cha vijana wa siku hizi unajua tena, mambo yanakuwa tafu inabidi tuthungumzye kingretha tu japo na chenye kinaweza kikamiksiwa na Kilatini mara moja moja.
songi za enzi zile wale mabwana walizokuwa wakitufundisha ilikuwa ni soo yaani kilatini tupu. Asikudanganye mtu nilikuwa nabonyeeeeeza kinanda ni noma. Mpaka doremiza faso ikubali si mchezo.. Chachi kama kichuguu bati zimeezekwa altareni tu,
.Bilzi yetu ilikuwa mitaa ya Kivule, Enzi hizo Raizoni, Pecosi ndio usiseme.
No comments:
Post a Comment